#COVID19 Algeria: Shule zafungwa kudhibiti maambukizi ya COVID-19

#COVID19 Algeria: Shule zafungwa kudhibiti maambukizi ya COVID-19

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Serikali Nchini humo imezifunga Shule kwa muda wa siku 10 na kuimarisha upimaji katika Viwanja vya Ndege kufuatia ongezeko la maambukizi.

Uamuzi wa kufungwa Shule umetolewa na Rais Abdelmadjid Tebboune baada ya Kikao cha Dharura na Mawaziri pamoja na Maafisa wa Juu wa Usalama na Afya.

Nchi hiyo imerekodi zaidi ya Visa 220,000 na Vifo 6,000 tangu Mlipuko kuanza. Wananchi wamehimizwa kupata Chanjo ili kupambana na COVID19.

======

Algeria has closed schools for 10 days and enhanced screening at airports and other control measures following a rise in coronavirus cases.

It has also encouraged people to get vaccinated to counter the spread of the virus.

The decision by President Abdelmadjid Tebboune to shut schools starting from Thursday followed an emergency meeting of ministers, top health and security officials.

A statement from the presidency however said that it was up to the universities to determine whether to close or reschedule their classes.

The country has recorded more than 220,000 coronavirus cases and over 6,000 deaths since the pandemic began

Source: BBC
 
Back
Top Bottom