Algeria ikicheza na nchi eg Kenya,Uganda,Malawi,TZ na nyinginezo hususan afrika ya huku chini kusini itafungwa tu,ila wacheze na waarabu wenzao utawaona balaa,tulishawahi kuwafunga 1995/96 taifa 2-1 ktk africa cup of nations kwenda bondeni,sitaastaajabu nikiona stars inamfunga desert(Algeria) ktk uwanja wa nyumbani Dar