Mzee pia alikuwa na malengo ya ku assemble magari. Haya nadhani yangeitwa "Mtori"Wanaanzaga hivi hivi halafu inakuja kuwa balaa baada ya miaka 15.
Watu hawajui kama Tecno ni assembled in Nigeria made in China [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hapo wanatafuta msuli tu wahamishie kabisa kiwanda nchini kwao.
Sisi tuna bahati mbaya, the Late Mengi alikuwa kwenye mchakato kabambe kabisa wa kuibuka na bidhaa hii, sijui ingeitwa parachichi au mbege I don't know.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]