johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Jo kama hata konda boy ameshaambukizwa upako na ze bulldozer,hata wewe nafikiri unaweza kufanya upako na hata uponyaji🤔Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza
Itoshe tu kusema haya yote yanathibitisha Kazi njema anayofanya Nabii na Mtume Mwamposya
Yesu ndiye mponyaji!
Huyu mwamposa ana nguvu kiasi gani? RC walianza kulia nae, leo hii na huyu mchumia tumbo wa ccm nae analiaKama kichwa cha uzi kinavyojieleza
Itoshe tu kusema haya yote yanathibitisha Kazi njema anayofanya Nabii na Mtume Mwamposya
Yesu ndiye mponyaji!
Huyu hawezi kuacha kuombea wanawake wa kiislam maana anaombea hata wasioenda kanisani kwake. Kuna siku nimemsikia akimuombea dua Mama Samia Suluhu Hassan kwa Mungu amjaalie afya njema na hekima za kuongoza nchi.Mwamposa kama Mwamposa.
Kumbuka wakatoliki ndio walianza kulia na mwamposaTatizo ni kupokea uponyaji au ni mwamposa?
Shida sana hii dini
Kinachonishangaza kuhusu huyu Bw. Mwamposa huwa hajibu, hajitetei, hafanunui wala hagombani na mtu.Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza
Itoshe tu kusema haya yote yanathibitisha Kazi njema anayofanya Nabii na Mtume Mwamposya
Yesu ndiye mponyaji!
koma kuingiza ukatoriki kwenye upuuzi wenuKumbuka wakatoliki ndio walianza kulia na mwamposa
Hata ukinitukana haisaidii, uzi upo humukoma kuingiza ukatoriki kwenye upuuzi wenu
koma kuingiza ukatoriki kwenye upuuzi wenu
Anajua wito wake ndio maana hahangiikiKinachonishangaza kuhusu huyu Bw. Mwamposa huwa hajibu, hajitetei, hafanunui wala hagombani mtu.