Alhaj Adam Kimbisa - CCM imekosa mvuto, kimechoka
Mwanachama mkongwe Alhaj
Adam Kimbisa akitoa ushahidi wa CCM mkoa wa Dodoma kuishiwa pumzi ni takwimu za kura za urais 2015 mkoa wa Dodoma ulikuwa wa pili Tanzania kwa kupiga idadi kubwa kura kwa mgombea wa urais wa CCM .
Lakini uchaguzi wa mkuu wa mwaka 2020 mkoa wa Dodoma umekuwa wa 23 kwa idadi ya kura walizompa mgombea wa urais hivyo kuteleza kutoka nafasi ya juu mwaka 2015.
Hali hiyo Alhaj Kimbisa anasema kimekosa mvuto na kukosa afya ya kisiasa hivyo kuna hatari CCM ikadumaa zaidi