Wakabambee58
JF-Expert Member
- Aug 14, 2020
- 1,302
- 1,939
Kweli sisi wadanganyika. Acha tu kama ilivyo.Nimekumbuka mengi'neyoView attachment 2423609
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli sisi wadanganyika. Acha tu kama ilivyo.Nimekumbuka mengi'neyoView attachment 2423609
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Wamerudi !!!Alhaj Adam Kimbisa - CCM imekosa mvuto, kimechoka
Mwanachama mkongwe Alhaj
Adam Kimbisa akitoa ushahidi wa CCM mkoa wa Dodoma kuishiwa pumzi ni takwimu za kura za urais 2015 mkoa wa Dodoma ulikuwa wa pili Tanzania kwa kupiga idadi kubwa kura kwa mgombea wa urais wa CCM .
Lakini uchaguzi wa mkuu wa mwaka 2020 mkoa wa Dodoma umekuwa wa 23 kwa idadi ya kura walizompa mgombea wa urais hivyo kuteleza kutoka nafasi ya juu mwaka 2015.
Hali hiyo Alhaj Kimbisa anasema kimekosa mvuto na kukosa afya ya kisiasa hivyo kuna hatari CCM ikadumaa zaidi
Alhaj Adam Kimbisa - CCM imekosa mvuto, kimechoka
Mwanachama mkongwe Alhaj
Adam Kimbisa akitoa ushahidi wa CCM mkoa wa Dodoma kuishiwa pumzi ni takwimu za kura za urais 2015 mkoa wa Dodoma ulikuwa wa pili Tanzania kwa kupiga idadi kubwa kura kwa mgombea wa urais wa CCM .
Lakini uchaguzi wa mkuu wa mwaka 2020 mkoa wa Dodoma umekuwa wa 23 kwa idadi ya kura walizompa mgombea wa urais hivyo kuteleza kutoka nafasi ya juu mwaka 2015.
Hali hiyo Alhaj Kimbisa anasema kimekosa mvuto na kukosa afya ya kisiasa hivyo kuna hatari CCM ikadumaa zaidi
Nchi hii Ina safari ndefu sana. Drama drama, drama kila kukicha.Nimekumbuka mengi'neyoView attachment 2423609
Mambo mengine mtumiage akili Wajameni msikubali kila mnachoambiwa. Mnataka kusema Kaskazini Pemba walimpigia wengi kuliko Dodoma?Kusingekuwa na uchaguzi 2020 dodoma ingeongoza kwa kura.
Lakini unaambiwa ilikuwa namba 23, na hii ilitokana na uhamiaji wa watumishi wa serikali ambao wengi wao walikuwa hawampendi Magu kwa sababu ya maslahi, kushurutishwa kutimiza wajibu wao, kukata mianya ya rushwa na dili.
Ilifika mahali watumishi wa serikali ambao wanasemaga serikalini ni mahali salama wakawa wansema serikalini si mahali salama kufanya kazi kipindi cha Magu.
Kwa hiyo kilichozungumzwa ni uhalisia kabisa .
Kusingekuwa na uchaguzi 2020 dodoma ingeongoza kwa kura.
Lakini unaambiwa ilikuwa namba 23, na hii ilitokana na uhamiaji wa watumishi wa serikali ambao wengi wao walikuwa hawampendi Magu kwa sababu ya maslahi, kushurutishwa kutimiza wajibu wao, kukata mianya ya rushwa na dili.
Ilifika mahali watumishi wa serikali ambao wanasemaga serikalini ni mahali salama wakawa wansema serikalini si mahali salama kufanya kazi kipindi cha Magu.
Kwa hiyo kilichozungumzwa ni uhalisia kabisa .
Nchi yetu tumepitia mengi sana tangu uhuru 😀😀😀Nimekumbuka mengi'neyoView attachment 2423609