Alhaj Adam Kimbisa - CCM imekosa mvuto, kimechoka

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Wamerudi !!!
 
Hahahahaha mbona mmeanza mapema?
 
Imekosa mvuto CCM,mpaka Chadema ikafanikwa kupata Mbunge mmoja. Adam Kimbisa ana nia mbaya na nchi hii.
 
Mambo mengine mtumiage akili Wajameni msikubali kila mnachoambiwa. Mnataka kusema Kaskazini Pemba walimpigia wengi kuliko Dodoma?
 

..inawezekana pia matokeo ni ya kupika ndio maana hayaakisi mazoea ya upigaji kura ya wananchi wa Dodoma.
 
Ni CCM au ni mtoa kauli ama vyote? Watu wa aina hii wanarudi kwa sababu ipi kwenye uongozi? Uchaguzi wa CCM na sura za baadhi ya wachaguliwa inaonesha yuko mtu anapanga safu ya watu wake ili baadaye muhusika aweze kwa uhakika zaidi kukiendesha chama na serikali yake kama vile kusukuma mlevi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…