Alhaji Juma Kapuya naye ni shehe wa Bagamoyo?

Alhaji Juma Kapuya naye ni shehe wa Bagamoyo?

mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh; kweli au umeedit; admin weka clip ya video.
 
Alienda kuomba booking ya mashehe wa Tabora! Tusubiri kuwaona wakijimwaga kwa "MFALME" huwa wanaongozwa na nyota ya mashariki kufika kwa Lowassa!
 
Dah! wenzio tulijifanya hatujaona ili kupuuza usanii wa kijinga kumbe mwenzetu uzalendo umekushinda. Ndio watu wajue kuwa kinachoendelea ni usanii mtupu. Kwa hela na mtandao alionao EL haya tuliyategemea
 
Waislam ndugu moja... ameungana na waislam wenzake kumuomba Lowassa agombee Urais... So what?
 
Huyumzee naona mmeanza kumrudisha maana jina lilikuwa lishapotea hahahaa
 
Ngoja mzee wa tabasamu la mamba arudishe lile faili la ubakaji kwa DPP...watu hawajifunzi kwa Komba ??
 
Si alimuambia yule dada kuwa atakuwa waziri mkuu kwenye serikali ijayo?
 
Huyu Kapuya mbakaji ndo Campaign Manager wa Lowasa
 
Behind Every Successful Man There Is A Woman. ITAFAKARI Hii Kwa Umakini Mkubwa! Kazi Kwako.
 


Namuona Mbunge wa Kariua kwa mbali akiwa kati ya Mashehe wa Bagamoyo walioenda kwa Lowassa jana kumshawishi achukue form yakugombea urais na kumchangia sh 700,000. Hivi Mzee Kapuya naye ni shehe wa Bagamoyo?

Ndiyo ni Sheikh wa Bagamoyo
 
Back
Top Bottom