Alhaji Sheikh Ponda: Game Changer kwa kura za Waislamu

Acha kujidanganya mwenyew we zumbukuku
 
mnaonaga waislam kama watu wajinga wajinga hivi
achana kabisa na hawa watu wanaoitwa waislam
ni kitabu na sunna ndio muongozo wao sio maneno ya siasa
Uki panic uwe na sababu.
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
 
Shehe Ponda hamzidi umaarufu shehe msomi Dr alhad Musa Salum wa Bakwata ambaye jana amepongezwa na Marekani.

Maendeleo hayana vyama!
Acha utoto wakimama wewe nenda mtaa kaulize kati ya ponda na huyo kibaraka wenu nani anajulikana..
Huyo anajulikana kwanafasi yake ya kicheo na serikali ndio wanamjua lakini kitaani watu wana mjua ponda kwakuwa yeye alijitolea kuwasemea waislam waishio tanzania au hujui historia yake.
Ponda anajulikana na hata wakristo na dini nyengine sasa husho shehe wako nani anaye mjua.acha utahira kiazi wewe..
 
Ha ha ha ha aaaa sasa kati ya Ponda na Alhadi nani masaka tonge

Ha ha ha haaaaaaa kwishaaaaaa yani hilo linaitwa bao la kisigino wenyewe mmeanzisha kushirikisha dini sasa tulieni mzae

Hakuna Muslim mwenye akili zake akawasikiliza BAKWATA hata siku moja
 
Mimi nipo kwenye group la masheik hawamtambui huyo Ponda na wala hata sidhani kama kuna atayekwenda kupiga kura kwa influence yake.
Hao labda wa BAKWATA na waji.nga waji.nga kama Alhaji Mussa
 
Mimi nipo kwenye group la masheik hawamtambui huyo Ponda na wala hata sidhani kama kuna atayekwenda kupiga kura kwa influence yake.
Dogo kunywa maji ukakojoe...maalim Issa Ponda mpaka vitoto mtaani wanamjua.labda hilo group lenu la mashehe wanao subili mchele halusini.
 
Naona uwezekano mkubwa wa Lissu kuwekewa pingamizi jingine alafu wampe adhabu nyingine ya kutofanya kampeni ili asiweze kumalize ratiba yake kama alivyoipanga.

Lissu anapanga kuingia kwenye siku ya uchaguzi kwa momentum kubwa, sioni jinsi nyingine
ambayo CCM wanaweza kushindana nayo.
 
Kuna waislamu wa huko rufiji, mkuranga, kibiti, lindi na mtwara ambao ni loyal kwa ponda alafu kuna waislamu wa tanga, tabora, ma sehemu zingine za tanzania ambao ni wa bakwata...
Hizi hesabu sijui mnasipiga pia..
 
Mimi nipo kwenye group la masheik hawamtambui huyo Ponda na wala hata sidhani kama kuna atayekwenda kupiga kura kwa influence yake.

Toka lini masheikh wa Bakwata ambao ni ccm wakamtambua Ponda? Watu wanazungumzia waisilamu ww unaongelea group la masheikh. Lakini bila machafuko sioni box la kura likitoa mshindi halali.
 
Kwa hiyo, tusikubali kutoka vituoni baada ya kupiga kura ili kulinda kura fake zisiingizwe. Mawakala peke yao hawawezi kusimamia UHUJUMU huu.
Umesomea mambo ya ulinzi?

Unapolinda utasimama wapi? Hiyo ardhi mwenyewe kakupa kibali kusimama kwenye ardhi yake?
 
Kuna waislamu wa huko rufiji, mkuranga, kibiti, lindi na mtwara ambao ni loyal kwa ponda alafu kuna waislamu wa tanga, tabora, ma sehemu zingine za tanzania ambao ni wa bakwata...
Hizi hesabu sijui mnasipiga pia..
Dodoma wengi wa waislamu ni wa Bakwata Lisu naona kaamua kuwadharau kwa kuwaletea mtu anayewadharau huyo Shehe Ponda
 

Kwa mtu yoyote mwenye akili timamu anajua fika ccm wanategemea kura za wizi ili kutangazwa washindi. Sababu hasa ya kusema wakala wa kituo atapewa nakala ya matokeo ni ili kulinda wizi huo. Kuna hili la tume kupeleka mawakala sehemu watakayo wao, lengo ni ili wachelewe vituoni waingize hayo mabox ya kura yenye kura ndani. Ushauri mchungu, bila kujiandaa kwa machafuko tutegemee uchaguzi wa kihuni kupita maelezo, na uhuni huo utakuwa ndiyo njia rasmi ya ccm kuendelea kukaa madarakani.
 
Mwislam yupi anaongozwa na tawi la Ponda. Hamna pengine burundi
Mimi ni muislamu na waislamu wa kweli hatuipendi BAKWATA kwa sababu ya ubadhirifu wa Mali za waislamu na kuhujumu uislam.. Hata siku moja hawazungumzii kero zetu
Ponda ni mwana harakati mkubwa ambae Mara kwa Mara amefungwa jela kwa ajili ya waislamu na uislam
Kwa kweli huyu sheikh anamvuto mkubwa kuliko sheikh yeyote wa kiislamu hapa Tanzania
Ngome iliobaki ya CCM ni Muslims lands kama Tanga Sasa Ponda anaenda kumaliza CCM huko
Takbirr
Allah Akbar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…