Alhaji Sheikh Ponda: Game Changer kwa kura za Waislamu

Kuanzia lini mshaanza kuchagua makafiri? Tena wanaoshadadia ubasha, tobaaaaa
 
Polepole yupo busy kujenga ghorofa mbezi na masaki kwa pesa alizopiga panga kwenye fungu la kuihujumu chadema na kajipanga kuishi kama chama cha upinzani ndiyo maana yeye anakwapua chake mapema hataki kushangaa shangaa
 
Kumalizia kampeni Dom na kuacha majiji kama Mwanza ama Dar ni mistake sana.
ngoja nikatafute maji ninywe kwanza alafu ntarudi.
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Kwa takwimu za mvutaji Bangi sawa, lakini kwa takwimu za kidunia uchaguzi ukiwa huru na haki CCM wajiandae kuwa chama cha upinzani kama Kanu ya kenya
 
Ninavyowajua hwa polisisiemu Lisu aktaka kwenda huko mtwara lazma wamzingue kuwa usalama mdogo ili asifanye kampeni.
 
Ninavyowajua hwa polisisiemu Lisu aktaka kwenda huko mtwara lazma wamzingue kuwa usalama mdogo ili asifanye kampeni.
 
Ww ni muongo sana. Tena haya maoni yako yametoka ktk Masaburi yako na siyo kichwani. Mlipomuweka ndani hivi juzi kati uliona reaction ya waislaam(Sio BAKWATA)? jifariji tu wewe na waovu wenzako. Kilio cha haki lazima kisikike, km mnata au hamtaki.
 
Kwa hapa nakubaliana na usemi,kuwa msema kweli ni mpenzi wa Mungu . Ni wachache wanaokuwa wakweli kutoka kwenye nafsi zao.
 
Sheikh Ponda na Lissu Babati....mji umelipuka kwa shangweeeeh ...na rudia tena uchaguzi huu ni wa Ki Historia
 
Nimeanza kuamini CCM inang'oka mwaka huu, Jiwe ni very strong opponent sababu amebrainwash vilaza wengi ila still moto wa Lissu si wa mchezo. Tumpumzishe jiwe aende chato akanywe uji tuacheni ujinga, miaka zaidi ya 50 toka nchi ipate uhuru maendeleo ya kijinga hadi leo umeme unakatika alafu mmekaa mnachekeana na makalio, Kenya tu toka mwaka 2000 umeme ulikua haukatiki ovyo, leo 2020 umeme unakatika almost kila wiki Tanzania? Alafu jinga linakuja kusema magufuli chaguo la mungu, hahaha chaguo la mungu au shetani? ovyo kabisa
 

Katika watu wa 3 wajinga Upo kwenye top 2, Hakuna udini wa kiwango hicho Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…