Alhaji Sheikh Ponda: Game Changer kwa kura za Waislamu

Hapana nadhani wewe si mwislam na hauelewi unachokisema.

Sijawai kuisikia mihadhara ya sheikh alhad kwan hatopata wa kumsikiliza na hakubaliki ila sheikh ponda hizo ndizo kazi zake.

O..
Shehe Ponda hamzidi umaarufu shehe msomi Dr alhad Musa Salum wa Bakwata ambaye jana amepongezwa na Marekani.

Maendeleo hayana vyama!
 
Tupo Babati

Sheikh Ponda na Lissu jukwaa moja wanafyatua makombora mji umelipuka kwa SHANGWE KUBWA
 
Mimi ninachojua kabla ya Kampeni CCM walikuwa na 'uhakika' tayari kwa Kura Milioni 14 na Kampeni zikielekea 'Ukingoni' hivi wana Milioni 22 zao.
 
ktk uchaguzi huu sijaona uingizwaji wa magari ya deraya na zile mbwembwe za kiulinzi
 
Mkuu mwaka huu ni BABA JENI Bye Bye ,Hamtoboi.....Kura zitalindwa ,Hakuna Vituo Hewa wala Wapiga kura feki...Mawakala wote watawekwa kwenye vituo halali na watakabidhiwa form ya matokeo otherwise KITANUKA na hapo ndio ataondoka kihalali kama Malawi walivyoondoka.
 
Kwa waislam kila jambo linatakiwa kuwa na muunganiko na dini ili liweze kuwa na mashiko.

Hivyo iwapo Lissu angekuja na hoja ya mahakama ya Kadhi waislamu wangevutika kumsikiliza...
 
uroho wa madaraka unawatia watu upofu na ujinga.
 
Kwa uelewa wangu ni kwamba, Waislam wameshastuka njia anayowapitisha Ponda.

Amebaki yeye na ghilba zake maananhata wenzake kwenye Shura ya Maimam wameshamkana.

Mnatumia kila taka kusaka kura za kupeleka viti maalum Bungeni lakini mtazikosa
 
acha uongo wewe nipo mbeya hapa wachungaji wote wamechoka wanataka mitano kwanza
 
Lazima wewe siyo muislamu! Maana wa Islam hawafikiri hivyo na ni watu wenye msimamo mkali sana, muislamu aliamua kumsaport Magufuli basi! Piga ua hata waje Ponda wangapi harudi nyuma!
Na CCM ina support kubwa ya waislam kuliko madhehebu mengine. Kwanza angalia uongozi wa juu wa CCM NA Chadema. Utaona kwamba CCM inatamba zaidi.
 
Mimi nipo kwenye group la masheik hawamtambui huyo Ponda na wala hata sidhani kama kuna atayekwenda kupiga kura kwa influence yake.
Kuna mashehe wangapi nchi hii? Na kunawaislamu wangapi nchi hii?
Sawa, mashehe hawamtambui Ponda lakini waislamu wanamtambua Ponda sasa faida iko wapi?
CCM kweli mazuzu hasa, hii iko kama ile ya kutoa milioni 100 kumnunua mbunge mmoja halafu unawaacha wapiga kura wake laki moja unajisikia mshindi.
Hawa mizigo watatu hapo juu CCM imekula kwenu
 
Clip ya shehe inazunguka kwenye maguroup ya waislamu balaa toka jana usiku ..

Kuna group moja nimo la shule ya kiislamu hii clip imerushwa watu wote na walimu wame react very postive.......

Aisee yaani ni kwamba CCM haina chake kwenye uchaguzi huu.
Naiomba hiyo clip mzee kama hautojali
 
Kwakuwa Gwajima ni mtumishi na anatuunga mkono hadharani sie kijani pia tuvumilie Ponda ponda kuunga mkono huko. Japo inauma aisee wa kwetu ana ushawishi Dar tu wa kwao ana ushawishi hadi Zanzibar.
Ukweli mchungu
 
Rais anakwenda kufungia kura jiji la Dodoma ambalo lina idadi ya watu kidogo zaidi hasa wapiga kura kuliko Dar,mwanza na mbeya,Bora zaidi angefungia mwanza au Mbeya
 
Magufuli siyo chaguo la Mungu ni chaguo la bashiru polepole na polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…