Alhamdulilah tumeshinda tumegubikwa na gumbizi la ushindi ila Morroco asirudue tena kupaki basi mapema zikiwa zimebaki dk 25

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Baada ya goli, mpira ulikuwa huna ladha.

ROHO MKONIK
 
Alifanya hadi nikamkumbuka Arajiga
 
Kwa hiyo wrwe unajua kuliko Morocco
 
kweli kabisa..kocha upo kwenu, unaongoza kagori kamoja alafu unaingiza mabeki unatoa washambuliaji..hako kagori wangerudisha nani angepambana kufunga tena wakati unatoa washambuliaji?? Kocha hapa alizingua sana..mpira ukabadilika wakawa wanakuja tu muda wote...hiyo mbinu ya kizamani abadili tu asipaki timu nyuma..na wala asiogope matusi ya watanzania
 
Nisiwe mnafiki mimi sina imani na huyu kocha hasa kwa sababu zake za kutokumiata Msuva na Samata kwenye timu ya Taifa hadi wadau walipopaza sauti, tumeuona mchango wa Samata na Msuva.
 
Nisiwe mnafiki mimi sina imani na huyu kocha hasa kwa sababu zake za kutokumiata Msuva na Samata kwenye timu ya Taifa hadi wadau walipopaza sauti, tumeuona mchango wa Samata na Msuva.
Tumsamehe chuki zake ujivuni na uoga wa kufundisha maprofesho ndicho kilichomgharimu ila amejifunza!
 
Muoga sana amekariri hataki kwenda na muda!
 
Dah hatari sana, alizingua. Tushukuru tumefuzu.
 
Bahati yao jana Baltazar hakuwa na mzuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…