Alhamdulillah, Jf imenipatia mke mwema

Alhamdulillah, Jf imenipatia mke mwema

Hongereni sanaaaaaaaaaaaa

Tunashukuru nawe mungu akujalie kama unae muishi kwa upendo na kama hauna akujalie umpate mwenza bora. Haya yote yanawezekana kwa uwezo wake
 
Heri iwe kwako bamku Mwenyezi Mungu awabariki wewe na mwenzi wako katika safari hii ndefu....
 
Last edited by a moderator:
Hata shetani anajua umedanganya mtaje kwa jina tofauti na hapo hii ni chai
 
hahahahahaha haya wangu ahsante kwa maombi yako natumai ntampata
 
Vipi tukupe na mke wa pili....

WanaJf amani iwe kwenu,

Sasa nimeamini mke bora waweza mpata hata Jf ukimuomba Mungu.

Mimi nimempata na sasa ni mwezi tangu tufunge ndoa.

Namuomba Mungu azidi kuilinda ndoa yetu.
 
WanaJf amani iwe kwenu,

Sasa nimeamini mke bora waweza mpata hata Jf ukimuomba Mungu.

Mimi nimempata na sasa ni mwezi tangu tufunge ndoa.

Namuomba Mungu azidi kuilinda ndoa yetu.

Picha pls
 
yaani mwez mmoja ndio unajisifu JF kuwa umepata mke mwema. Ivi unajua inachukua muda gani kumfahamu na kumjua tabia ya mtu? Ingefika walau miaka mitano tungesema kweli ulipata mke mwema.
 
Back
Top Bottom