Ali Bananga: UVCCM tutalinda Chama, Wanachama na mali za CCM kwa gharama za damu zetu

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,309
Reaction score
4,798
Katibu wa Siasa na Uenezi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Bananga amesema chama hicho kupitia jumuiya yake ya vijana (UVCCM) wamejipanga kujibu mapigo dhidi ya mtu yeyote wakiwemo makada wa vyama vya upinzani watakaotumia vibaya uhuru wa kufanya siasa kumtukana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na viongozi wengine.

Bananga ameyasema hayo akihutubia mkutano wa hadhara Mwananyamala Kisiwani Kata ya Makumbusho jijini Dar es Salaam baada ya kupokea taarifa ya chama kimojawapo cha siasa (hakijatajwa jina) kuvunja jiwe la msingi la moja ya shina ya CCM ndani ya kata hiyo iliyoandaliwa kuzinduliwa na UVCCM Wilaya ya Kinondoni kupitia kampeni yao ya Kijana na Kijani.

Soma Pia: Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute

Bananga ameongeza kuwa CCM kupitia UVCCM kitawalinda viongozi, wanachama wa CCM pamoja na mali za chama hicho kwa gharama za damu huku akisisitiza kuwa wako tayari kujibu mapigo ya kile alichokiita chokochoko za vyama vya upinzani kwa ‘staili’ ile ile watakayokuja nayo.

actually,
vyama vya siasa nchini ni vyema kufanya siasa za kistaarabu na kuheshimiana, vinginevyo ni kupoteza thamani na ladha ya siasa za hoja,

na kuna vyama,
havina uwezo wa siasa za fujo kwasabb pia ni dhaifu sana hata kwenye siasa za hoja tu 🐒
 
Kati ya ccm na hivyo vya upinzani nani anaongoza kufanya siasa za kihuni? Kuna ofisi ngapi za vyama vya upinzani hasa chadema bila hatua zozote kuchukuliwa?
Embu acheni ujinga wenu
 
C
actually,
vyama vya siasa nchini ni vyema kufanya siasa za kistaarabu na kuheshimiana, vinginevyo ni kupoteza thamani na ladha ya siasa za hoja,

na kuna vyama,
havina uwezo wa siasa za fujo kwasabb pia ni dhaifu sana hata kwenye siasa za hoja tu 🐒
hama cha kutekana na kupotezana....uvccm
 
actually,
vyama vya siasa nchini ni vyema kufanya siasa za kistaarabu na kuheshimiana, vinginevyo ni kupoteza thamani na ladha ya siasa za hoja,

na kuna vyama,
havina uwezo wa siasa za fujo kwasabb pia ni dhaifu sana hata kwenye siasa za hoja tu 🐒
CCM hamna nguvu ya kuzungumzia siasa za hoja sababu hamuziwezi kabisa siasa za hoja.
Mnakimbia midahalo,mnatumia Polisi kusambaratisha upinzani.

Wewe kenge wa kijani unakuja kutaka siasa za hoja kweli?
 
Back
Top Bottom