Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Nimecheka kinoma, Bananga anasema ccm sijui viongozi wake watalindwa kwa damu, kwani hao ccm wana lolote ama wanategemea mbeleko ya vyombo vya dola? Mwambie vyombo vya dola vikae pembeni halafu alete hilo tumbo lake mbele kama hajafurahia show.actually,
vyama vya siasa nchini ni vyema kufanya siasa za kistaarabu na kuheshimiana, vinginevyo ni kupoteza thamani na ladha ya siasa za hoja,
na kuna vyama,
havina uwezo wa siasa za fujo kwasabb pia ni dhaifu sana hata kwenye siasa za hoja tu š
