Ali Bananga: UVCCM tutalinda Chama, Wanachama na mali za CCM kwa gharama za damu zetu

Kati ya ccm na hivyo vya upinzani nani anaongoza kufanya siasa za kihuni? Kuna ofisi ngapi za vyama vya upinzani hasa chadema bila hatua zozote kuchukuliwa?
Embu acheni ujinga wenu
katika siasa,
kuongoza ni kwenye wingi wa kura katika uchaguzi pekeyake, vinginevyo ni utapeli wa kishirikiana huo wa kupima na kulinganisha uhalifu 🐒

naendelea kutoa Rai kwa vyama vyote vya kisiasa nchini kufanya siasa za hoja za kistaarabu na kuheshimiana...

mihemko na ghadhabu viachwe nyumbani 🐒
 
...'Mba mba mba'... Ina maana Serikali, vyombo vyake vya kisheria pamoja na vya ulinzi na usalama vimelala usingizi wa kukoroma hadi hawa chawa wahubiri uvunjifu wa amani hadharani mchana kweupe bila ya soni?

Huyu kenge anaelewa tafsiri ya kulinda jambo kwa gharama ya damu?

Hivi Samia hatumbui kwenye Chama hata mtu aropokeje?

Maana sijaona hatua yoyote kuchukuliwa hata kwa yule 'Yuvisisiem' mwingine mroporopo wa Bukoba aliyedai akipoteza watu, Polisi wasiwatafute!

Kauli kama hizi zisipotengenezewa wigo, amani ya nchi ipo mashakani.
 
CCM hamna nguvu ya kuzungumzia siasa za hoja sababu hamuziwezi kabisa siasa za hoja.
Mnakimbia midahalo,mnatumia Polisi kusambaratisha upinzani.

Wewe kenge wa kijani unakuja kutaka siasa za hoja kweli?
mihemko, ghadhabu na kuporomosha dhihaka ni mazoezi ya kuanza kuporomosha matusi....

muhimu kuzingati sheria katika kufanya siasa za hoja, malengo na mikakati kulingana na ratiba na mipango ya vyama husika,

huna sababu ya kua mnyonge kwasabb chama kingine kimegoma kua blackmailed na kua trapped na kingine,

siasa ni kujipanga my friend,
vyama vingine vina wabunge zaidi ya mia4 , chamba ambacho hakina hata diwani kinang"ang"ana eti kuwe na majadiliano nacho 🤣

vichekesho vingine bana vina tia huruma sana 🐒

hata hivyo,
ni muhimu zaidi saiasa za kistarabu na kuheshimiana ili kustawisha demokrasia nchini mwetu 🐒
 
C

hama cha kutekana na kupotezana....uvccm
ushirikiana, hadaa na utapeli wa vyama vya siasa hasa vya upinzani kwa wananchi hawezi kuwasaidia kisiasa au hata kushinda uchaguzi kamwe....

CCM itaendelea kushinda uchaguzi kwa kishindo kikuu kwa kufanya siasa za kistarabu na kuwaletea wananchi bila mbambamba yoyote 🐒
 
Msajili wa vyama alitupunguza kasi...tumevua yale magwanda yetu ya GREEN GUARD....kwa sababu ya uelewa wangu kidogo...binafsi nilimpongeza kwani si tu sisi bali hata RED BRIGADE na BLUE GUARD...tumebakia na UVCCM tu...

Siasa banaaa [emoji1787]

Kamarada mtunduizi mcheza na maneno na hamasa kuu kaka mkubwa Bananga amefikia kusema hivi ?!!! [emoji1787][emoji1787]

Bananga huyu mume wa auntie Hawa Mwaifunga(Covid 19) ?!!!

Bananga huyu mkuu wa mipango wa iliyokuwa CCM STAMINAZ na akina James Ole Millya kule Arusha na diwani wa zamani Sombetini ?!!!

Mwamba alipohamia CHADEMA kwa upepo wa El Commandante ENL aliisemea BAVICHA maneno hayahaya ya leo [emoji1787][emoji1787]

Siasa.....

#Nchi Kwanza[emoji2956]
#Tutamlinda Samia kwa gharama yoyote ile [emoji2956]
 
Mchumia tumbo tu huyu mjinga aliropoka hivyo hivyo dhidi ya CCM alipokuwa Chadema.
 
Oya Maggot Mic haina sumu ?
 
Huyu chawa anaetunzwa na mkewe kwani aantaka kumwaga damu za akina nani?
 
Kati ya ccm na hivyo vya upinzani nani anaongoza kufanya siasa za kihuni? Kuna ofisi ngapi za vyama vya upinzani hasa chadema bila hatua zozote kuchukuliwa?
Embu acheni ujinga wenu
Kati ya vyama vya upinzani na CCM ni upande gani unaongoza kutekwa wafuasi wake?
Na damu itakayomwagika ni ya upande gani wa hivyo vyama. CCM au upinzani?
 
Hizi kauli wala hazina afya kuwa uvccm sio kwamba wewe huwezi kukipata cha moto , kama kauli hizi watu wenye akili ndani ya ccm ,vyombo vya ulinzi vinashindwa kukemea , basi ruhusuni uvcc watangaziane vita na vijana wengine wa vyama pinzani kama uvcc hawataacha viatu barabarani.

Kauli za kijinga namna hii sio za pepesea macho, kitakuja siku kuumana mpaka mshangae
 
Mi nakupa Facts we wacheka chaka tuu nakuja na majibu ya taarabu.

Tuombe mdahalo live mimi na wewe hapa JF nikunyoe.
 
Anajipapatua ili wakubwa wamuone kama anakipenda sana chama na yupo tayari kukipigania!
 
Mi nakupa Facts we wacheka chaka tuu nakuja na majibu ya taarabu.

Tuombe mdahalo live mimi na wewe hapa JF nikunyoe.
jambo la maana zaidi ni siasa za kistaarabu na heshima,
midahalo ya maana zaidi ikafanywe kwa wananchi hao ndio wanaamua mpka leo tupo humu tulivyo sio huo ushirikina na utapeli wa sijui eti kunyoa nini 🐒
 

Luka 12:2-4

Neno: Bibilia Takatifu

2 “Hakuna jambo lililofunikwa ambalo halitafunuliwa au siri iliyofichwa ambayo haitajulikana. 3 Kwa hiyo, yote mliyosema gizani yatasikiwa mchana: na yote mliyonong’onezana mkiwa mmeji fungia chumbani, yatatangazwa hadharani.
4 “Nawambieni rafiki zangu, msiwaogope wale wauao mwili, na halafu basi.
 
Bananga kidevu kishaota MVI unajiita UVCCM au kwa kuwa bado MARIOOO?
 
Kamsikilize ex DC wa longido kwanza kisha urudi hapa kujidanganya na sanduku la kura! Pia tafuta clip ya boss wako inayohusu upigaji kura kwamba hata upige kura ya hapana itahesabiwa ccm!
Nikuulize, hii amani anayohubiri mwenyekiti wenu anawahubiria watu wa taifa lipi au wa vyama gani? Mbona wenzake huko chamani ni Kama hawamwelewi?
Halafu utakuta vyombo vinavyohusika na ulinzi na usalama wa nchi vimepigwa nusu kaputi na kushangilia kauli hii ya kuvunja amani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…