Ali Choki na Super Nyamwela warudi Twanga Pepeta

Ally Choki wala si mwanamuziki mahiri sjawahi kufurahishwa na nyimbo zake nyingi zimejaa kutaja taja majina hovyo.Sauti yake na namna anavyoimba kumepwaya sana huwezi kumweka kundi moja na wanamuziki nguli kama Marijani Rajabu,Zaihr Zoro .......
 
Mkuu ali choki ni wa kumfananisha/kutaka mfananisha na Marijani?? Acheni dharau jamani. Choki ambaye hajui kupiga hata kinanda!! Huyo ni msanii
 
Hata kufikiri tu kabla hujaandika hizo fikra zako kuhusu choki na marijaan mwana was rajabu ulitakiwa ujiombe mswamaha wewe mwenyewe coz licha yaah kuvaa viatu vyake gwiji huyo hata soksi zake haziwezi kumuenea. Muimbaji kumfananisha na mwanamuziki? nyimbo za hao wakongwe zinaishi choki sijui wimbo wake ambao naweza kukumbuka japo mistari mi3.
 
Somo la mapato na matumizi kwa vijana wengi imekuwa ni issue!
Hatimaye hesabu imesoma negative kuuuuuubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Tusahau ya zamani tugange ya jayo. ..
Tunataka twanga yetu iwe kama ya enzi zile.
 
Pamoja na yote tumpongeze kwa kujaribu. Pia alishaelewana na Asha baraka kabla ya kurejea. Aombae msamaha husamehewa.
 
Aly choki si ana bend yake huyu jamaa inakuwaw tena anaenda kuajiriwa wakati alikuwa amejiajiri!?
 
Alikuwa anapata ufadhili kutoka kwa mkewe ambae kwa sasa ni marehemu

Inawekana nahuyo mkewe alikuwa mfadhili wake ckujua Ila namjua jamaa 1 alikufa kwenye matukio huko MUSOMA km ckosei
 
Ally Choki wala si mwanamuziki mahiri sjawahi kufurahishwa na nyimbo zake nyingi zimejaa kutaja taja majina hovyo.Sauti yake na namna anavyoimba kumepwaya sana huwezi kumweka kundi moja na wanamuziki nguli kama Marijani Rajabu,Zaihr Zoro .......

Zahir Zoro naye anajua kuimba?
 
Kumbe Banza stone ni kichwa sana huyu Choki sijuagi hata anaimba nini??
 
Zahir Zoro naye anajua kuimba?
Wewe ni kinda nini??unauliza makofi polisi> ? Zahir Ally ni gwiji haswa la kuimba hio ni namba ingine bwashee.kaanza kuimba enzi hizo na tena nyimbo zenye viwango...nenda youtube tafuta nyimbo za kimuli muli ndo utamjua Zahir Ally Zorro.
 
Ally Choki wala si mwanamuziki mahiri sjawahi kufurahishwa na nyimbo zake nyingi zimejaa kutaja taja majina hovyo.Sauti yake na namna anavyoimba kumepwaya sana huwezi kumweka kundi moja na wanamuziki nguli kama Marijani Rajabu,Zaihr Zoro .......
Anaiga iga tu.,sauti yake nyimbo nyingi anamwigiza Emilia Elyas wa Wenge BCBG.zaidi ya hapo hana kitu.ashukuru Banda stone alipotimka Twanga kwenda TOT ndio yeye akapewa nafasi yake kuiba pengO ikampaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…