muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Atatumwa mpaka lini?,jinga sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
adui yako mwombee njaa tu basi
Njaa ni kiboko ya majeuri wote.....
Alikuwa anapata ufadhili kutoka kwa mkewe ambae kwa sasa ni marehemu
Ally Choki wala si mwanamuziki mahiri sjawahi kufurahishwa na nyimbo zake nyingi zimejaa kutaja taja majina hovyo.Sauti yake na namna anavyoimba kumepwaya sana huwezi kumweka kundi moja na wanamuziki nguli kama Marijani Rajabu,Zaihr Zoro .......
JUMA BANATOS JB aliuawa kwenye ujambazi Morogoro tangu 2006 hivi.Inawekana nahuyo mkewe alikuwa mfadhili wake ckujua Ila namjua jamaa 1 alikufa kwenye matukio huko MUSOMA km ckosei
Wewe ni kinda nini??unauliza makofi polisi> ? Zahir Ally ni gwiji haswa la kuimba hio ni namba ingine bwashee.kaanza kuimba enzi hizo na tena nyimbo zenye viwango...nenda youtube tafuta nyimbo za kimuli muli ndo utamjua Zahir Ally Zorro.Zahir Zoro naye anajua kuimba?
Anaiga iga tu.,sauti yake nyimbo nyingi anamwigiza Emilia Elyas wa Wenge BCBG.zaidi ya hapo hana kitu.ashukuru Banda stone alipotimka Twanga kwenda TOT ndio yeye akapewa nafasi yake kuiba pengO ikampaisha.Ally Choki wala si mwanamuziki mahiri sjawahi kufurahishwa na nyimbo zake nyingi zimejaa kutaja taja majina hovyo.Sauti yake na namna anavyoimba kumepwaya sana huwezi kumweka kundi moja na wanamuziki nguli kama Marijani Rajabu,Zaihr Zoro .......
adui yako mwombee njaa tu basi