mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,904
- 8,371
Kala matapishi yake ,alipoondoka alimnanga mmiliki wa bendi na bendi yenyewe akajinasibu kuwa hata iweje hawezi rudi Twa,akajisahau kuwa yeye ni mwaajiriwa tu hata hata huko Extra Bongo,kuendesha bendi au kampuni si mchezo jamani,uajiri watu,uwalipe mishahara,NSSF bado TRA wapo nyuma wanakufuata,waswahili husema usitukane mamba ungali hujavuka mto.HA HA hahaha Choki si ana bendi yake? iweje uhame nyumbani mwako uende kupanga?