Tetesi: Ali Hapi kwenda kumng'oa Mwigulu jimboni Iramba 2025

Kwa hiyo Nzega Hapi Ni wakuja kama Bashe na Kigwangala? Hivi wanyamwezi wakoje kumwacha mzawa kwenda kumweka mpitanjia akusaidieni !? Ila kama Hapi yupo seriously basi mnyonge wake anaweza kuwa Hamisi Kigwangala...yaani kama kuopoa Mwananyamala
 
Mhhhh walikuwepo akina Kiula bhana hadi walitaka kupewa Unaibu Waziri Mkuu lakini mbona waliondoshwa tu!
nilitegemea kujibiwa hivyo na asiepima siasa na kujipenda mwenyewe katika siasa, unless awe ndio anaanza kupiga jeramba for the future 🐒

For tha case,
aende tu kugombea coz, ya Mungu mengi but sio kumshinda waziri 🐒
 
Jimbo la Iramba Magharibi na ligawanywe mara mbili kama ilivyokuwa kawaida ya CCM kuepusha mgawanyiko kwa makada wake hasa zikaribiapo siku za uchaguzi. Suala la kuongezeka kwa gharama hilo wala haliwasumbui vichwani mwao.
 
Atafute shughuli nyingine. Hilo la kumng'oa Madelu pale haliwezi.
 
Suphian Juma huyo anajijua hachaguliki ndiyo maana amejikita kwenye uchawa akiishi kwa matumaini ya kuteuliwa. Na huyo Ally Hapi ajiangalie sana Mwigulu ana mganga wake mwenye titi moja huyo gagula ni mikosi sana,hakoseagi shabaha.
 
Jana tayari ameshakimbilia jimboni kuweka hali ya hewa sawa. Hajahojiwa tu ila barabara anazodai kuzijenga yeye ni hovyo hovyo haswaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…