Kesho Nov 26, 2011, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kinaadhimisha mahafali ya 23 huko Bungo, Kibaha, Mkoa wa Pwani na wahitimu 2,444 watapokea magamba yao. Kati yao, yumo waziri William Lukuvi atakayepata MA katika Political Science na Rais Mstahafu Ali Hassan Mwinyi atatunukiwa Honorary Doctor of Letters (D.Lett).
Hongera wahitimu wote! Mmepata, nanyi katoeni tupate maendeleo.
Hongera wahitimu wote! Mmepata, nanyi katoeni tupate maendeleo.