Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Richard Abwao amesema Jeshi la Polisi Mkoani humo limemuachia Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe kwa dhamana huku taratibu nyingine za kiuchunguzi kuhusu tuhuma zinazomkabili zikiendelea.
Kamanda Abwao amenukuliwa akisema “ameachiwa kwa dhamana ambayo imetolewa muda mfupi uliopita, anaweza kusafiri (nje ya Mkoa wa Tabora) lakini atatakiwa kuja kuripoti tarehe aliyopangiwa ambayo ni tarehe 21 mwezi huu”