Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
IGP unawatoa wapi Makamanda viazi kama huyu?Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Richard Abwao amesema Jeshi la Polisi Mkoani humo limemuachia Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe kwa dhamana huku taratibu nyingine za kiuchunguzi kuhusu tuhuma zinazomkabili zikiendelea.
Kamanda Abwao amenukuliwa akisema “ameachiwa kwa dhamana ambayo imetolewa muda mfupi uliopita, anaweza kusafiri (nje ya Mkoa wa Tabora) lakini atatakiwa kuja kuripoti tarehe aliyopangiwa ambayo ni tarehe 21 mwezi huu”
Kisa tuu amemkamata msemaji wenu wa nyuma kuna mwiko, ila angekamata majambazi ungekuja na mapambio hapaIGP unawatoa wapi Makamanda viazi kama huyu?
Kiazi ni huyo Ali makundi na mnaoona anauwezo wa kufanya kile alichofanya.IGP unawatoa wapi Makamanda viazi kama huyu?
Badala ya kushughulika na waliotajwa kwenye ripoti ya CAG, hawa chawa wanahangaika na mambo ya kitotoKamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Richard Abwao amesema Jeshi la Polisi Mkoani humo limemuachia Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe kwa dhamana huku taratibu nyingine za kiuchunguzi kuhusu tuhuma zinazomkabili zikiendelea.
Kamanda Abwao amenukuliwa akisema “ameachiwa kwa dhamana ambayo imetolewa muda mfupi uliopita, anaweza kusafiri (nje ya Mkoa wa Tabora) lakini atatakiwa kuja kuripoti tarehe aliyopangiwa ambayo ni tarehe 21 mwezi huu”
Hilo ndo la msingi zaidi. Hizo milioni 60 huyo RC akafanyie shughuli za maendeleo mkoani hapoKikubwa Tabora amekaaa