Ali Kamwe: Ahmed Ally anachonganisha wachezaji na mashabiki

Pumba
 
Ukiona Utopolo anatoa ushauri kwa Simba jua hana nia nzuri. Huyo ni Tapeli tu wa kutoa ushauri.
Mimi mwenyewe nashangaa. Watu waliotoka kumsema vibaya Benchikha kwa kuweka mabeki 7 mechi na Wydad ili kulinda ushindi leo wanaishauri Simba.

Yaani wasivyoitakia mema Simba wanapata wapi busara za kumshauri Ahmed Ally na kuwaonea huruma wachezaji wa Simba. Au labda mimi ndiyo sielewi.
 
Kiprofesheno hayo mambo hayamuhusu Ally Kamwe. Lakini kwa vile bongo manenomaneno ndiyo yanapendwa, anatakiwa kufanya hivyo.
 
Unapo anzishaga threads za kuishauri kwa Yanga hua una maana gani? au ndio nyani haoni dude lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…