Ali Kamwe: Ahmed Ally anachonganisha wachezaji na mashabiki

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
USHAURI WA ALLY KAMWE KWA AHMED ALLY.

Shida ni kwamba .. Timu inaposhinda Msemaji unajimilikisha ushindi huo. Unatamba nao na kujipa kila aina ya majina kuonyesha kwamba Wewe ni KILA KITU kwenye Ushindi.

Lakini timu inapopata matokeo mabaya, Unajitenga nayo. Unaanza kutupa lawama hadharani kwa wachezaji kuwa hawana Ubora na Uchu wa kuipa Timu mafanikio.. Huku ni KUKOSA HESHIMA.

Ni Ubinafsi na unaonyesha ni kwa kiasi gani Msemaji upo kwa ajili ya kulijenga jina lako na sio kuijenga Taasisi yako. Na hii ni mbaya pindi Interest binafsi zinapotangulia kuliko Interest za Taasisi.

Jambo moja ambalo inatupasa tuelewe, Nyakati nzuri na mbaya ni kwa ajili ya wote. Hakuna mchezaji anayekwenda uwanjani ili apoteze mchezo.

Kuwazodoa na kuwasema hadharani wachezaji wako ni kutaka kuwachonganisha na mashabiki. Ni ishara pia ya kutoheshimu kazi yao.

Na hata inapobidi, wachezaji wakatakiwa kusemwa, mwenye jukumu hilo ni Mkuu wa Benchi la Ufundi, Sio msemaji wa Timu.

Makocha wamekaa Darasani na wakafundishwa jinsi ya kuishi na kuwaelekeza wachezaji. Tuache wafanye kazi yao.

Kuwa Msemaji haimaanishi Wewe Unajua kila kitu. Haimaanishi una nguvu na uwezo wa kukosoa wapambanaji wako Public. Tujue mipaka yetu.

Kesho na keshokutwa wachezaji wakianza kutukanwa mitandaoni na kupigwa mawe na mashabiki barabarani, Tutaanza kusema kuwa tuna mashabiki wapuuzi.. Kumbe ‘Upuuzi’ tunaujenga kwa vinywa vyetu wenyewe..

Huwezi kuonekana Smart kwa kukosoa na kuwasema wachezaji hadharani .. ili kufurahisha kikundi cha watu wachache..

Hii ni mbaya sana, utamalizana na wachezaji kisha kesho utawakosoa viongozi wenzako na kisha utahamia kwa mashabiki.. Mwisho wake huwa mbaya sana.

Tubadilike .. Kinachotupa Umaarufu na majina makubwa mjini ni TIMU sio Vinywa vyetu .. Tujifunze kuheshimu na kuwalinda wachezaji wetu.

Mwenyekiti wa Wasemaji Hapa ..
Ally Kamwe [emoji1593]

#FutbalPlanetUpdates
1703415473919.jpg
 
Mpelekee hii Ally Kamwe aisome

Kwenye sanaa ya Mawasiliano hakuna katika nyie anaweza kunifikia hata robo ndo maana nyie mkaajiriwa 10 kwenye idara moja mie niko peke yangu

Na bado Mabosi wenu wakanunua machawa wengi kwa ajili ya kuwasaidia nyie kazi.

Kusema wachezaji wetu wanatakiwa kuboresha viwango vyao ni kuwachonganisha na mashabiki?

Kwani mashabiki hawakuona kama tumecheza chini ya kiwango?

Mimi ndo Msemaji wa Simba natakiwa kusema mazuri na madhaifu yetu ambayo yanaonekana hadharani.

Nimeeleza madhaifu yetu na kuwaahidi wana Simba kuwa tunakwenda kufanya maboresho kipindi hiki ligi yamesimama.

Yaani nimeelezea tatizo na suluhu yake.

Wana Simba wameridhika na ukweli huo na sasa wanasubiri utekelezaji wa maboresho

Sisi kuelezana ukweli nyie mnaumia nini, Mnataka tusiambiane ukweli tucheze chini ya kiwango kwa maslahi ya nani??

Kwenye kusifia nitasifia sana, tena kwenye eneo hilo hakuna anaeniweza kwenye dunia hii lakini ikiwa tofauti natakiwa niseme vilevile.

Wapo wanaosema kama kiongozi natakiwa nikazungumze ndani sio public, Wapo sahihi ninayokwenda kuzungumza kwenye vikao vya ndani ni yale mazito na makubwa lakin kukumbushana kuboresha kiwango ni jepesi mno linafanywa hadharani

Nyie bado wachanga sana kunielekeza Gwiji
 
Ali kamwe ni genius....ndio maana katambua kuwa Hilo ni tatizo
 
Majibu ya kienyeji, kiswahili na kimbumbumbu.

Kamwe ameongea kiutu uzima safari hii
 
Mkuu , kumwambia mtu ukweli kama anafanya mambo ya hovyo ni vibaya? Huoni kwamba kumficha huku pembeni unamsema vibaya huo ndiyo unafiki? Acha waelezwe ukweli Maana wanacheza kifadha mno.
Bado nasimama kwenye ukweli. Ahmed Ali siyo kocha, wala technical director wa timu! Kwa hiyo tubali hana utaalam wa kuyaongelea madhaifu ya timu au wachezaji.

Yeye jukumu lake kuu ni la mawasiliano ndani ya timu. Kwa hiyo siyo dhambi kama atajikita zaidi kwenye kuhabarisha yale mambo yote yaliyo ndani ya uwezo wake. Hayo mengine ya kuhusu wachezaji, angewaachia walimu na viongozi wa timu.
 
Bado nasimama kwenye ukweli. Ahmed Ali siyo kocha, wala technical director wa timu! Kwa hiyo tubali hana utaalam wa kuyaongelea madhaifu ya timu au wachezaji.

Yeye jukumu lake kuu ni la mawasiliano ndani ya timu. Kwa hiyo siyo dhambi kama atajikita zaidi kwenye kuhabarisha yale mambo yote yaliyo ndani ya uwezo wake. Hayo mengine ya kuhusubwachezaji, awaachie walimu na viongozi wa timu.
Kabisa mkuu...hana mamlaka ya kutoa judgement
 
Back
Top Bottom