Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
Wewe huna mamlaka ya kusema timu fulani imecheza vibaya au vizuri, mwenye mamlaka hayo ni kochaBado nasimama kwenye ukweli. Ahmed Ali siyo kocha, wala technical director wa timu! Kwa hiyo tubali hana utaalam wa kuyaongelea madhaifu ya timu au wachezaji.
Yeye jukumu lake kuu ni la mawasiliano ndani ya timu. Kwa hiyo siyo dhambi kama atajikita zaidi kwenye kuhabarisha yale mambo yote yaliyo ndani ya uwezo wake. Hayo mengine ya kuhusu wachezaji, angewaachia walimu na viongozi wa timu.
Wewe kama shabiki kazi yako ni kuishangilia timu Ktk kila hali