Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe, ameongoza shughuli ya kusafisha Uwanja wa KMC Complex, hatua inayokuja mara baada ya klabu hiyo kutangaza rasmi kwamba itautumia uwanja huo kama uwanja wake wa nyumbani kwa mechi zote zilizobaki za Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/25.
Soma, Pia: Gamondi hana furaha na Uwanja wa Azam Chamanzi Complex
Aidha, Yanga SC imepanga pia kuutumia Uwanja wa KMC Complex katika mashindano ya CRDB Bank Federation Cup. Hii ni hatua muhimu kwa Yanga kujenga mazingira rafiki kwa mashabiki wake na kuweka uwanja katika hali nzuri kwa ajili ya michuano yao inayokuja.