Ali Kamwe aiongoza Yanga SC kusafisha Uwanja wa KMC Complex

Ali Kamwe aiongoza Yanga SC kusafisha Uwanja wa KMC Complex

1000273997.jpg
kijana mwenyewe anaonekana kabisa huyu ila Zaka za Kazi kampa moja hiyo😅😅🤣
 
Yaani gongowazi wanatapatapa mpaka wanatia huruma.Walivyo wajinga eti uwanja unasafishwa?Tena uwanja wa kukodisha?
Huo mwendo anaotembea Ali Kamwe unatia mashaka.
Mechi ya mwanzo tu kucheza hpo kipigo

Tunza hii komenti
 
Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe, ameongoza shughuli ya kusafisha Uwanja wa KMC Complex, hatua inayokuja mara baada ya klabu hiyo kutangaza rasmi kwamba itautumia uwanja huo kama uwanja wake wa nyumbani kwa mechi zote zilizobaki za Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/25.

Soma, Pia: Gamondi hana furaha na Uwanja wa Azam Chamanzi Complex

Aidha, Yanga SC imepanga pia kuutumia Uwanja wa KMC Complex katika mashindano ya CRDB Bank Federation Cup. Hii ni hatua muhimu kwa Yanga kujenga mazingira rafiki kwa mashabiki wake na kuweka uwanja katika hali nzuri kwa ajili ya michuano yao inayokuja.
Wangekuwa hawawadharau wananchi ambao ni mashabiki wa Yanga, wasingefanya huu ujinga.

Imagine huyu anafanya kama viongozi wa ccm wanavyowafanyia wananchi kuwaona hamnazo.

Tuna changamoto ya watu nchini.
 
Dem alifika gheto kwa msela jambo la kwanza ni kufanya usafi na kupanga vizuri chumba.
 
Utopolo wote wapimwe akili au wapelekwe Lutindi kwa matibabu zaidi
 
Yaani umechukuwa chumba Lodge unaanza kupiga deki na kufua mashuka kuna sehemu wana Yanga hawako sawa mi nashauli chomoeni mwiko kule uliko kama mnaupenda utieni hata mdomoni.
 
Back
Top Bottom