Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Zanzibar.Wakipigwa tena na hapo sjui watahamia wapi!!
Utopolo bhana
Mbona hata Simba alianziaga CHAMAZI then akakimbia.??Wanawaza kuloga tu hapo,bila shaka.
Tangu lini mkasafisha uwanja wa Azam? Haya imekuwaje KMC?
Tunachofaham gharama za kutunza uwanja ikiwemo usafi ni za mwenyeuwanja.Mbona hata Simba alianziaga CHAMAZI then akakimbia.??
Akaenda shamba LA Bibi Mara CCM kirumba
Hawa kwa ushirikina wanaweza hata kuhama uwanja wao kama wangekua nao!Wakipigwa tena na hapo sjui watahamia wapi!!
Utopolo bhana
Najana MASAU BWIRE amesema uwanja wao niwao wao , jkt queen na Mashujaa queen full stop hawataki mtu mwingine,nazan wamenusa harufu yahuko tunapoelekea Uto wakauhitaji uwanja wao uwe kama uwanja wao wa nyumbaniWakipigwa tena na hapo sjui watahamia wapi!!
Utopolo bhana
Hapo wanacheza mdumange mbonaAfisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe, ameongoza shughuli ya kusafisha Uwanja wa KMC Complex, hatua inayokuja mara baada ya klabu hiyo kutangaza rasmi kwamba itautumia uwanja huo kama uwanja wake wa nyumbani kwa mechi zote zilizobaki za Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/25.
Soma, Pia: Gamondi hana furaha na Uwanja wa Azam Chamanzi Complex
Aidha, Yanga SC imepanga pia kuutumia Uwanja wa KMC Complex katika mashindano ya CRDB Bank Federation Cup. Hii ni hatua muhimu kwa Yanga kujenga mazingira rafiki kwa mashabiki wake na kuweka uwanja katika hali nzuri kwa ajili ya michuano yao inayokuja.