Ali kamwe akataa nafasi ya afisa habari wa yanga..

Ali kamwe akataa nafasi ya afisa habari wa yanga..

Smart AJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
5,564
Reaction score
5,884
Kupitia kipindi cha dakika 90 cha azam tv ali aliweka wazi kuwa kuanzia sasa angapenda kutambulika kama meneja wa habari na mawasiliano wa klabu ya yanga..

Namnukuu”kwanza niweke wazi,hapo awali post yangu ilikuwa inasomeka afisa habari,ila sasa ningependa kutambulika kama meneja wa mawasiliano na habari wa klabu ya yanga.

SO NOW TUNA MENEJA HABARI NA MAWASILIANO WA KLABU YA SIMBA (ahmed ali )na swahiba wake ali kamwe(MENEJA HABARI NA MAWASILIANO WA KLABU YA YANGA)..
 
Kila la kheri zake na ahsante kwa taarifa...
 
Huyu naye ni wa kuhurumiwa tu
 
Kila wanachosema viongozi wa Yanga, ni habari kwa mashabiki wa simba! Maajabu haya!!!
Sasa lipi jema ,wakipuuzwa hao mambwiga wenu mnasema tunawadharau tukiwanukuu mnavuta midomo kama chuchunge.
 
Back
Top Bottom