Ali Kamwe ataweza kushindana na Sandaland na Azam FC Mahakamani?

Ali Kamwe ataweza kushindana na Sandaland na Azam FC Mahakamani?

Sandaland hana kesi; ni kiki tu. Iliyodhalauriwani jezi siyo Kampuni ya Sandaland. Halafu kughadaru bidhaa siyo defamation hata siku moja. Ndiyo maana hata Consumer Report hutoa ranking za bidhaa mbalimbali wakionyesha bidhaa zenye ubora mzuri na zile zisizokuwa na ubora.

Azam FC nao hawana kesi, ni kiki tu. Kutoa maoni ya kumtuhumu mtu yeyote siyo defamation mpaka kuwe na tamko la kuonyesha kuwa mtoa maoni hayo ana uhakika kuwa mtu anayetumiwa alifanya jambo analotuhumiwa nalo. Mtamkaji anakuwa anafanya defamation akitegemea ama kunufaika na tamko hilo au kumdhuru mtuhumiwa kwa tamko hilo.
Tumekuelewa Mwanasheria wa Yanga wamebaki Yanga tu ndo wana kesi ya Msingi dhidi ya Ahmedi Ally si ndio Wakili Msomi?
 
Ila ile kauli ya kuzima taa ili Dube asifunge ilikuwa ya kijinga.
 
Upepo wa ujinga umeingia mjini!

Tukifukua makaburi ya Zaka za Kazi NCHI nzima itanuka case!

Waziri mwenye zamana aingilie kati huu upuuzi!
Hata suala la Fei Toto kuzungumza na Azam wakati bado na mkataba na Yanga ni issue
 
Back
Top Bottom