Ali Kamwe azimia baada ya mechi, akimbizwa hospitalini

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Kwa Habari zilizotufikia muda huu ni kwamba Afisa habari wa Yanga Sc Ali kamwe amezimia kwa Mkapa mara baada tu ya Mchezo kumalizika huku Yanga Sc ikiibuka na ushindi wa Mabao 4-0 dhdi ya CR Belouizdad.

Hata hivyo, amekumbizwa Hospitali kwa ajili ya kupatiwa huduma ya kwanza.

Hii inaweza kuwa ni furaha kubwa aliyokuwanayo baada ya Yanga Sc kutinga hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara kwanza katika Historia.
Screenshot_20240224-225319.jpg
 
View attachment 2915262

Source - KitengeTv
Ata injinia asingetulizwa pale jukwaani angedondoka nilimuona baada ya goli ya nne lile presha ilimpanda..
 
Halafu baadae wakikaa peke yao wanaanza kubeza eti mwaka robo

Wao robo fainali moja tu tayari wameanza kuzimia.

Hawa ili tuendelee kuishi nao kwa usalama inabidi tuwaombee wafungwe kila mechi vinginevyo tunaweza kuwapoteza siku za usoni.
 
Kwa Habari zilizotufikia muda huu ni kwamba Afisa habari wa Yanga Sc Ali kamwe amezimia kwa Mkapa mara baada tu ya Mchezo kumalizika huku Yanga Sc ikiibuka na ushindi wa Mabao 4-0 dhdi ya CR Belouizdad.

Hata hivyo, amekumbizwa Hospitali kwa ajili ya kupatiwa huduma ya kwanza.

Hii inaweza kuwa ni furaha kubwa aliyokuwanayo baada ya Yanga Sc kutinga hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara kwanza katika Historia.

View attachment 2915262

Source - KitengeTv
Hahaaa! Bila shaka yupo aga khan anatest lile punguzo
 
Halafu baadae wakikaa peke yao wanaanza kubeza eti mwaka robo

Wao robo fainali moja tu tayari wameanza kuzimia.

Hawa ili tuendelee kuishi nao kwa usalama inabidi tuwaombee wafungwe kila mechi vinginevyo tunaweza kuwapoteza siku za usoni.
Sisi tutachukua kombe sio mambo ya robo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unabezwa kwasababu huwa kila mwaka unaishia robo tu...mfano msimu uliopita muliweka malengo mufike nusu ila mukafeli mukaishia robo muliyoizoea
Kwani we kila mwaka huwa haushiriki hayo mashindano?
 
Robo ambayo yanga wakiipata wanazimia

Ishu ni kutimiza malengo mimi malengo yangu yalitimia ila mungu mwema tukaenda mbali zaidi jeee wewe naada ya kuingia robo fainali mara mbili malengo yako ni nusu fainal jeee umeyafikia mpaka sasa nyie mbabezwa kwasababu hamfikii lengo mliojiwekea
 
Back
Top Bottom