Ata injinia asingetulizwa pale jukwaani angedondoka nilimuona baada ya goli ya nne lile presha ilimpanda..Kwa Habari zilizotufikia muda huu ni kwamba Afisa habari wa Yanga Sc Ali kamwe amezimia kwa Mkapa mara baada tu ya Mchezo kumalizika huku Yanga Sc ikiibuka na ushindi wa Mabao 4-0 dhdi ya CR Belouizdad.
Hata hivyo, amekumbizwa Hospitali kwa ajili ya kupatiwa huduma ya kwanza.
Hii inaweza kuwa ni furaha kubwa aliyokuwanayo baada ya Yanga Sc kutinga hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara kwanza katika Historia.
View attachment 2915262
Source - KitengeTv
Kakipewa mic kanaibeza robo
Robo fainali tatu za Simba alikuwa akizibeza.Huenda ndiye aliyebeba mikoba ya timu leo, sasa midude labda haijamaliziwa kitoweo chao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huenda ndiye aliyebeba mikoba ya timu leo, sasa midude labda haijamaliziwa kitoweo chao
Na kapata dege dege na kifafa cha ukubwani juu.Robo fainali tatu za Simba alikuwa akizibeza.
Leo kapata moja tayari yupo ICU
Kuna kitu hakipo sawa kwa hawa watu
Hahaaa! Bila shaka yupo aga khan anatest lile punguzoKwa Habari zilizotufikia muda huu ni kwamba Afisa habari wa Yanga Sc Ali kamwe amezimia kwa Mkapa mara baada tu ya Mchezo kumalizika huku Yanga Sc ikiibuka na ushindi wa Mabao 4-0 dhdi ya CR Belouizdad.
Hata hivyo, amekumbizwa Hospitali kwa ajili ya kupatiwa huduma ya kwanza.
Hii inaweza kuwa ni furaha kubwa aliyokuwanayo baada ya Yanga Sc kutinga hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara kwanza katika Historia.
View attachment 2915262
Source - KitengeTv
Unabezwa kwasababu huwa kila mwaka unaishia robo tu...mfano msimu uliopita muliweka malengo mufike nusu ila mukafeli mukaishia robo muliyoizoeaKakipewa mic kanaibeza robo
Leo robo moja tu kamezimia.
Halafu bado mnataka kusema hii mechi hamjashinda kwa bahati?
Sisi tutachukua kombe sio mambo ya roboHalafu baadae wakikaa peke yao wanaanza kubeza eti mwaka robo
Wao robo fainali moja tu tayari wameanza kuzimia.
Hawa ili tuendelee kuishi nao kwa usalama inabidi tuwaombee wafungwe kila mechi vinginevyo tunaweza kuwapoteza siku za usoni.
Kushinda kwa bahati kupoje? Simba kala 5 sasa kuna ajabu ipi mwarabu kula 4?Kakipewa mic kanaibeza robo
Leo robo moja tu kamezimia.
Halafu bado mnataka kusema hii mechi hamjashinda kwa bahati?
Ile mechi shauri lake kabla hata halijafikishwa Kisutu limepitia PCCBKushinda kwa bahati kupoje? Simba kala 5 sasa kuna ajabu ipi mwarabu kula 4?
Kwasababu maajabu yapo na leo tumeyaona ngoja tusubiri
Kwani we kila mwaka huwa haushiriki hayo mashindano?Unabezwa kwasababu huwa kila mwaka unaishia robo tu...mfano msimu uliopita muliweka malengo mufike nusu ila mukafeli mukaishia robo muliyoizoea
Robo ambayo yanga wakiipata wanazimiaUnabezwa kwasababu huwa kila mwaka unaishia robo tu...mfano msimu uliopita muliweka malengo mufike nusu ila mukafeli mukaishia robo muliyoizoea
Robo ambayo yanga wakiipata wanazimia