Kwahiyo simba hawakuwahi kuwa na malengo ya kuingia group stage? Je walipopitiliza hadi robo alizimia nani?Ishu ni kutimiza malengo mm malengo yangu yalitimia ila mungu mwema tukaenda mbali zaidi jeee wewe naada ya kuingia robo fainali mara mbili malengo yako ni nusu fainal jeee umeyafikia mpaka sasa nyie mbabezwa kwasababu hamfikii lengo mliojiwekea
Ni kweli, tension ilikuwa kubwa sana kwa Eng.Ata injinia asingetulizwa pale jukwaani angedondoka nilimuona baada ya goli ya nne lile presha ilimpanda..
Tatizo la mwakarobo nimelisema muda mrefu hapa, tatizo si kuishia Robo final tatizo kuwa kubwa zembe miaka yote hasogei ni hapo hapo Tu, huu ni uzembe wa Hali ya juu ..Halafu baadae wakikaa peke yao wanaanza kubeza eti mwaka robo
Wao robo fainali moja tu tayari wameanza kuzimia.
Hawa ili tuendelee kuishi nao kwa usalama inabidi tuwaombee wafungwe kila mechi vinginevyo tunaweza kuwapoteza siku za usoni.
AiseeMajini' yanataka kuondoka na MTU wao. Mayele hakuongea Kwa Bahati mbaya.
Unateseka ukiwa wapi nyumbu? Maana huku yanga Kule man utd kaliwaHalafu baadae wakikaa peke yao wanaanza kubeza eti mwaka robo
Wao robo fainali moja tu tayari wameanza kuzimia.
Hawa ili tuendelee kuishi nao kwa usalama inabidi tuwaombee wafungwe kila mechi vinginevyo tunaweza kuwapoteza siku za usoni.
Bahati Goli 4?Kakipewa mic kanaibeza robo
Leo robo moja tu kamezimia.
Halafu bado mnataka kusema hii mechi hamjashinda kwa bahati?
Naunga mkono hojaHuenda ndiye aliyebeba mikoba ya timu leo, sasa midude labda haijamaliziwa kitoweo chao
Kuzimia sio sababu mbona tumewahi kumzika mtu huku mtwara kisa tu yanga alifungwa kwenye ligi kuu?Robo ambayo yanga wakiipata wanazimia
Mfano mwaka jana tuliweka malengo tuingie makundi ila bahati mbaya tulitolewa(tulifeli) ila tukadondokea shirikisho tukacheza mpaka final,mwaka huu tukaweka malengo tuingie makundi kwahiyo utaona ni namna gani tumetimiza malengo na kupitiliza....Yanga ana uhakika wa kuongoza hili kundi vipi unatamani ukutane nae?Kwani we kila mwaka huwa haushiriki hayo mashindano?
Natamani nikwambie kwamba mahali alipopelekwa Kamwe wana mkataba na Yanga. Kama una elimu kidogo ya mambo ya masoko utakuwa umeshanielewa.Halafu baadae wakikaa peke yao wanaanza kubeza eti mwaka robo
Wao robo fainali moja tu tayari wameanza kuzimia.
Hawa ili tuendelee kuishi nao kwa usalama inabidi tuwaombee wafungwe kila mechi vinginevyo tunaweza kuwapoteza siku za usoni.
Wewe uko na akili kubwa sana.Hahaaa! Bila shaka yupo aga khan anatest lile punguzo
Na bado, mtasema sana tu🤣🤣Huenda ndiye aliyebeba mikoba ya timu leo, sasa midude labda haijamaliziwa kitoweo chao
Na bado, mtasema sana tu🤣🤣
😁Huenda ndiye aliyebeba mikoba ya timu leo, sasa midude labda haijamaliziwa kitoweo chao
Yaani mtu kaangushwa na mapepo hadi kupoteza fahamu halafu wewe unasema alianguka kwa furaha aliyokuwa nayo?Hii inaweza kuwa ni furaha kubwa aliyokuwanayo