Kuna Azam FC hao ruksa kuwatabia ila SSB LTD ukiwatania umemgusa mzee Bakhresa mwenyewe,Mbona unaongea kwa jazba Sana,utani upo Tu mfano Ahmed Ally anavowatania Azam (Taja Kampuni mlioingia nayo mkataba itashindana na Azam)....Kuna Muda utani unakupa motisha na ari kupambana kutimiza malengo yako
La msingi ww kuwa na mawazo chanya tu
😁😁Et tajiri au riziki ya Mtu....Sawa ngoja nisirefushe mjadala nimekuelewa utani ujikite katika muktadha husika usizidiKuna Azam FC hao ruksa kuwatabia ila SSB LTD ukiwatania umemgusa mzee Bakhresa mwenyewe,
Huo ni ushauri tu wa maisha hata nje ya mpira uzingatie,usilete utani kwenye rizki ya mtu wala mke wa tajiri
Hawa matajiri akikupeleka mahakanani shukuru Mungu,unaweza kupotezwa kabisa na kaburi lako lisionekane milele,Kama Yanga wamediriki kwenda CAS kisa kuona hawajatendewa haki, imefika wakati sasa mautani utani haya ya kuchafuana tuanze kuwekana sawa kwenye vizimba vya mahakama.
Huyo Ali Kamwe inaonyesha amepewa "blank check" na Hersi kusema na kufanya lolote bila kuwajibishwa na taasisi yake, sijui huwa wanapeana nini ila inaonyesha ni zaidi ya mwajiriwa pale Yanga. Imefika wakati anyooshwe.
Mbona kama mnalalamika tu! Ameleta utani gani? Msione aibu.Ukiona kampuni imesimama mpaka imejulikana kitaifa ujue owners wamepambana saba,jasho,machozi na damu.
Hakuna mtu mnyonge abayeweza kumuliki kampuni yenye thamani yamabilioni.
Company owners wengi ni mafia,kukupoteza wewe kiumbe mdogo ni sekunde.
Mtu amemtoa kafara mzazi wake,mtu ameroga sana,amelala njaa,amelala sero,amesumbuana na TRA,na Takukuru kujenga brand alafu kimbaumbau mmoja anataka kumuharibia,utapotea kama sio kufunguliwa kesi ya madai ya mabilioni .
Ogopa sana matajiri.hakuna tajiri fala,
Inashangaza sana taasisi inayojinasibisha ni kubwa inaendekeza utoto unaofanywa na mwajiriwa wake tena kwa makosa ya kujirudia. Utani kwenye hizi taasisi mbili haupo tena, hatutaki tu kusema ukweli. Kama tumefika kuanza kuyashambulia makampuni yanayofanya kazi na hizi timu, hatupo tena kwenye utani.Hawa matajiri akikupeleka mahakanani shukuru Mungu,unaweza kupotezwa kabisa na kaburi lako lisionekane milele,
Huyu Ally kamwe Tatizo Bado Ajapata Shurubi ndio Maana Kanalopoka Sana katoto kajinga na kalimbukeni Aka kachokoUkiona kampuni imesimama mpaka imejulikana kitaifa ujue owners wamepambana saba,jasho,machozi na damu.
Hakuna mtu mnyonge abayeweza kumuliki kampuni yenye thamani yamabilioni.
Company owners wengi ni mafia,kukupoteza wewe kiumbe mdogo ni sekunde.
Mtu amemtoa kafara mzazi wake,mtu ameroga sana,amelala njaa,amelala sero,amesumbuana na TRA,na Takukuru kujenga brand alafu kimbaumbau mmoja anataka kumuharibia,utapotea kama sio kufunguliwa kesi ya madai ya mabilioni .
Ogopa sana matajiri.hakuna tajiri fala,
Ni kwamba watu hawajamuamulia tu. Hajui kuna kitu "ushahidi wa kimazingira" unaweza kutumika na kutosha kumhukumu kutokana na tabia zake za kuchafua watu.Hawa matajiri akikupeleka mahakanani shukuru Mungu,unaweza kupotezwa kabisa na kaburi lako lisionekane milele,
Hii ni kweli kbs kama haitoshi wamulize msanii Harmonize kwa nin aliacha kujiiita jina la mzee Bakhresa kwenye nyimbo zake 🤣Kuna Azam FC hao ruksa kuwatabia ila SSB LTD ukiwatania umemgusa mzee Bakhresa mwenyewe,
Huo ni ushauri tu wa maisha hata nje ya mpira uzingatie,usilete utani kwenye rizki ya mtu wala mke wa tajiri