Ali Kamwe itanie Simba uwezavyo ila usilete utani kwenye Brand za biashara za watu, utapotea

Ali Kamwe itanie Simba uwezavyo ila usilete utani kwenye Brand za biashara za watu, utapotea

Kama Yanga wamediriki kwenda CAS kisa kuona hawajatendewa haki, imefika wakati sasa mautani utani haya ya kuchafuana tuanze kuwekana sawa kwenye vizimba vya mahakama.

Huyo Ali Kamwe inaonyesha amepewa "blank check" na Hersi kusema na kufanya lolote bila kuwajibishwa na taasisi yake, sijui huwa wanapeana nini ila inaonyesha ni zaidi ya mwajiriwa pale Yanga. Imefika wakati anyooshwe.
Yawezekana anatoa jicho la tatu.
 
Back
Top Bottom