Ali Kamwe: Mimi nilijua Simba haiwezi kumsajili X factor siku ya mwisho ya dirisha la usajili

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mimi nilijua Simba haiwezi kuwa na mchezaji wa X factor siku ya mwisho ya dirisha la usajili, intelijensia yangu iliniambia hawawezi kusajili mchezaji ambaye anaweza kutikisa.

Kwa hiyo ili kuwatia hasira mashabiki wao mimi nikapita na hiyo X factor nikaileta kwetu, mashabiki wetu wanafurahi lakini kwa upande mwingine nikawateka mashabiki kutaka kujua X factor wetu ni nani. - Ally Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano Yanga.

Pesa iko benki. Msimu ujao tukienda kuitoa atatuheshimu.
 
Simba kwa sasa hawana uwezo wa kushawishi high profile players dakika za mwisho.
 
Pesa zipo Benki. Mgunda ndio usajili bora sana mtaona.
Umeongea point. Ismail Mgunda ndiye X-Factor wetu! Mbadala wa Seleman Mwalimu! Na pia ndiye wa kumpa changamoto ya namba Ibrahim Osimhen Doumbia. Mwaka huu Yanga watatukoma.
 
Umeongea point. Ismail Mgunda ndiye X-Factor wetu! Mbadala wa Seleman Mwalimu! Na pia ndiye mbadala wa Ibrahim Osimhen Doumbia. Mwaka huu Yanga watatukoma.
Mkuu wakati mwingine inabidi kuwaonea huruma hao viongozi wa Simba. Ile KO ya Mwalimu iliwachanganya sana mpaka wakashindwa kujua hapo jirani tuJKT kuna mfungaji mzuri tu mbadala wa Mwalimu anaitwa Paul Peter mwenye goli 9+. Badala yake wakapanda treni mpaka Kigoma kwenda kumsajili mchezaji mwenye goli 3 tu.
 
Labda wameangalia umbo!
 
Mimi nilijua Simba haiwezi kuwa na mchezaji wa X factor siku ya mwisho ya dirisha la usajili, intelijensia yangu iliniambia hawawezi kusajili mchezaji ambaye anaweza kutikisa.

Kwa hiyo ili kuwatia hasira mashabiki wao mimi nikapita na hiyo X factor nikaileta kwetu, mashabiki wetu wanafurahi lakini kwa upande mwingine nikawateka mashabiki kutaka kujua X factor wetu ni nani. - Ally Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano Yanga.

View attachment 3652383
G

Twende hivi hivi. Yanga aendelee kubeba UBINGWA kwa miaka kumi mfululizo kama alivyoapa Manara ili raia wakate mudi na anasa tuendelee kushughulika na misiba ya kitaifa!.
 
Labda wameangalia umbo!
Wengi wameanza kuujua na kuufatilia mpira hivi karibuni tena tayari wakiwa wameshakuwa watu wazima. Kwa hiyo wanaamini kuwa mshambuliaji wa kati lazima awe na umbo kubwa kumbe mara nyingine ni jicho la goli tu ndio linahitajika. Kama umbo lingekuwa linacheza basi hata washambuliaji wenye miili midogo kama wakina Mogella, Damian Kimti, wasingecheza kabisa au wangeishia kuwa mawinga tu.
 
Back
Top Bottom