Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kwani ni vibaya kuiga mambo mazuri?Kazi yao ni copy and paste wanachofanya Simba.
Umeongea point. Ismail Mgunda ndiye X-Factor wetu! Mbadala wa Seleman Mwalimu! Na pia ndiye wa kumpa changamoto ya namba Ibrahim Osimhen Doumbia. Mwaka huu Yanga watatukoma.Pesa zipo Benki. Mgunda ndio usajili bora sana mtaona.
Mkuu wakati mwingine inabidi kuwaonea huruma hao viongozi wa Simba. Ile KO ya Mwalimu iliwachanganya sana mpaka wakashindwa kujua hapo jirani tuJKT kuna mfungaji mzuri tu mbadala wa Mwalimu anaitwa Paul Peter mwenye goli 9+. Badala yake wakapanda treni mpaka Kigoma kwenda kumsajili mchezaji mwenye goli 3 tu.Umeongea point. Ismail Mgunda ndiye X-Factor wetu! Mbadala wa Seleman Mwalimu! Na pia ndiye mbadala wa Ibrahim Osimhen Doumbia. Mwaka huu Yanga watatukoma.
Labda wameangalia umbo!Mkuu wakati mwingine inabidi kuwaonea huruma hao viongozi wa Simba. Ile KO ya Mwalimu iliwachanganya sana mpaka wakashindwa kujua hapo jirani tuJKT kuna mfungaji mzuri tu mbadala wa Mwalimu anaitwa Paul Peter mwenye goli 9+. Badala yake wakapanda treni mpaka Kigoma kwenda kumsajili mchezaji mwenye goli 3 tu.
GMimi nilijua Simba haiwezi kuwa na mchezaji wa X factor siku ya mwisho ya dirisha la usajili, intelijensia yangu iliniambia hawawezi kusajili mchezaji ambaye anaweza kutikisa.
Kwa hiyo ili kuwatia hasira mashabiki wao mimi nikapita na hiyo X factor nikaileta kwetu, mashabiki wetu wanafurahi lakini kwa upande mwingine nikawateka mashabiki kutaka kujua X factor wetu ni nani. - Ally Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano Yanga.
View attachment 3652383
Twende hivi hivi. Yanga aendelee kubeba UBINGWA kwa miaka kumi mfululizo kama alivyoapa Manara ili raia wakate mudi na anasa tuendelee kushughulika na misiba ya kitaifa!.Mimi nilijua Simba haiwezi kuwa na mchezaji wa X factor siku ya mwisho ya dirisha la usajili, intelijensia yangu iliniambia hawawezi kusajili mchezaji ambaye anaweza kutikisa.
Kwa hiyo ili kuwatia hasira mashabiki wao mimi nikapita na hiyo X factor nikaileta kwetu, mashabiki wetu wanafurahi lakini kwa upande mwingine nikawateka mashabiki kutaka kujua X factor wetu ni nani. - Ally Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano Yanga.
View attachment 3652383
Wengi wameanza kuujua na kuufatilia mpira hivi karibuni tena tayari wakiwa wameshakuwa watu wazima. Kwa hiyo wanaamini kuwa mshambuliaji wa kati lazima awe na umbo kubwa kumbe mara nyingine ni jicho la goli tu ndio linahitajika. Kama umbo lingekuwa linacheza basi hata washambuliaji wenye miili midogo kama wakina Mogella, Damian Kimti, wasingecheza kabisa au wangeishia kuwa mawinga tu.Labda wameangalia umbo!
Sio vibaya.Kwani ni vibaya kuiga mambo mazuri?