Ali Kamwe: Simba hii ndo mbovu zaidi kilichobadilika ni jezi tu

Ali Kamwe: Simba hii ndo mbovu zaidi kilichobadilika ni jezi tu

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
“Simba kilichobadilika ni hizi jezi. Simba hii ya msimu huu ni mbovu kuliko ile iliyopita. Simba iliyopita ilikuwa na wachezaji ambao mnasema wameshazeeka lakini wana uzoefu ambayo walikuwa wanawasaidia kwenye baadhi ya mechi” Ally Kamwe, Afisa Habari Yanga SC

Je Ali Kamwe Yuko sahihi....au kazingua
1723453018968.jpg
 
Simba wanatiwa msumari hapa.........
Wanakula bomba hapa.................
Wanakula kitu........
Wanakula.......wanakula........

Simba ni special group sasa hivi la kuhurumia
 
“Simba kilichobadilika ni hizi jezi. Simba hii ya msimu huu ni mbovu kuliko ile iliyopita. Simba iliyopita ilikuwa na wachezaji ambao mnasema wameshazeeka lakini wana uzoefu ambayo walikuwa wanawasaidia kwenye baadhi ya mechi” Ally Kamwe, Afisa Habari Yanga SC

Je Ali Kamwe Yuko sahihi....au kazinguaView attachment 3071947
Kama kawaida yako, wewe na story za Simba tu!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom