Tuachane na yoote hayo. Yeye Ali kamwe ni Simba au Yanga? Manara ni Simba au Yanga? Akina GSM ni Simba au Yanga?
Woote hao ni Simba... hawaikamii Simba wanataka Mo Dewji Simba imshinde na aondolewe hapo. Ndipo mutakapo ona Tz timu gani itakuwa bora. Sasa Mo kangangania anajaribu jaribu saana japo ana jua tu ipo siku hawa watoto wa mjini watamwacha aiache Simba. Ipo siku , Simba itafanyiwa killa figisu hadi mwekezaji achoke na hilo .. ligi ikianza Simba msimu huu ana kazi.. nje na ndani ya uwanja. Mutafakari ya akina ... Senzo,Babra,Morrison,Aziz ki ( alikuwa aje Simba) Manara,mkude,chama,Kibu aliyo yafanya,udhamini timu kadhaa, suala la Manula,Inonga,Haruna nyonzima,wana habari,Vyombo vya habari,Baadhi ya Viongozi, viwanja vya kuchezea ligi mara mwanza,moro,mara Taifa, mara huku mara kule, mara suala la usajili hassa wachezaji wa ndani kukwama kwama,kupokea timu pinzani za Simba n.k. Mo Dewji atafika mahala ataachia tu. Hassa na msimu huu ikishindwa ligi kuu na Shirikisho Caf.. Bass Simba itapotea kote kote na rank yao Caf ikishuka tu... Tafakari Simba kapigwa 5 na Yanga, kafungwa mara 3 mfululizo na Yanga msimu mmoja. Katoa sare na Al Ahly home and away halafu anakuja kupigwa 5 na Yanga? Akiwemo Chama ndani halafu Yanga wanamchukua? Na Crdb confederation cup bahati yao Simba alitolewa na Mashujaa au Yanga walipanga kumfunga tena. Simba na kocha wake mpya wana mechi 7 tu kujua hatma ya timu iwe shirikisho au ligi kuu hapo wakianza kuyumba bass Mo Dewji anaweza ghairi. Ukizingatia Try again mguu ndani na nje, Mangungu ndio hivyo tena, Ceo tokea Rwanda? Na figisu za ligi yetu. Simba ni msimu huu tu baada ya hapa hatma yake itajulikana.