Ally ameshaona kiama kinachokujaYawezekana ana fact mkuu
Tusubiri OctoberKwa Simba hii mbovu [emoji32]
Mnàvyojidanganya hivyo sio? Kwa mchezaji anayeitwa Debora sio?Ally ameshaona kiama kinachokuja
Kwanini kila mkitaka kujitetea mnamtaja DeborahMnàvyojidanganya hivyo sio? Kwa mchezaji anayeitwa Debora sio?
Kwa sababu ni Debora.Kwanini kila mkitaka kujitetea mnamtaja Deborah
Wanasahau walikua na Joyce..Kwanini kila mkitaka kujitetea mnamtaja Deborah
Kama kawaida yako, wewe na story za Simba tu!“Simba kilichobadilika ni hizi jezi. Simba hii ya msimu huu ni mbovu kuliko ile iliyopita. Simba iliyopita ilikuwa na wachezaji ambao mnasema wameshazeeka lakini wana uzoefu ambayo walikuwa wanawasaidia kwenye baadhi ya mechi” Ally Kamwe, Afisa Habari Yanga SC
Je Ali Kamwe Yuko sahihi....au kazinguaView attachment 3071947