Ali Kamwe: Simba tumewajaza Kwa kibu, wamejaa

Hii mbona ilikuwa wazi kabisa, wamejichanganya mjomba Kibu sasa atakuwa among the highest paid footballers in Tz 😁
Kwamba mnamuonea wivu kulipwa sana? Acheni vijana wapate hela, hata Aziz Ki naye anadai bila $500,000 ambayo ni zaidi ya sh. 1.5B ya Tanzania, hatasaini. Namuunga mkono Kibu, namuunga mkono Aziz Ki
 
Kwamba mnamuonea wivu kulipwa sana? Acheni vijana wapate hela, hata Aziz Ki naye anadai bila $500,000 ambayo ni zaidi ya sh. 1.5B ya Tanzania, hatasaini. Namuunga mkono Kibu, namuunga mkono Aziz Ki
Aziz ki hata akilipwa billion 1 Kwa mwezi sawa ila sio huyo mkongo hamna anachokifanya kiufupi wajinga ndio waliwao kibu mjanja sanaaa🤣🤣🤣🤣🤣
 
ALLY KAMWE: TUMEWAJAZA WAMEJAA

"Tunaemtaka Pale yupo Tumewajaza Kwa Rasta Wamekurupuka Wamempa Mkataba Na Pesa Nyingi, Hatuwezi Kumsajili Mshambuliaji Kwa Msimu Ana Bao Moja tu Pekee." -Ally Kamwe

View attachment 2997896
hahahahhahahaah!na mm nilishangaaa YANGA wanamtakaje mtu na goli moja tu aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…