MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Simba ni club ya vigodoro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee umeumia rasta kupata mihela, dizaini za mchawiUnga tu vyote mkuu, mjazeni mihela Rasta
yenye hela za kuwajaza marasta. Hela za African Football League hizo, acha vijana wafaidiSimba ni club ya vigodoro
Hapa kibu alicheza kama Pele, yaani kibu d ndo atakiwe na timu za ulaya, nilisema hapa hata azam hawawezi kumsajili kibuMda wa mawakala kuhonga waandishi wa habari wavumishe tetesi ili wapige hela.
Sasa umeumia nini kama wajinga ndio waliwao? 🤣 🤣 🤣Aziz ki hata akilipwa billion 1 Kwa mwezi sawa ila sio huyo mkongo hamna anachokifanya kiufupi wajinga ndio waliwao kibu mjanja sanaaa🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani nitetee hela za tajiri mimi? Maana hakuna hela za wanachama wala Simba hawalazimishwi watu kulipia kadi, hawazunguki mikoani kukusanya tozo za kulipia kadi etc. Kwa ufupi wanachama hawachangii fedha. Sasa iweje atokee mtu awalipe vijana halafu nikomae eti tumepigwa? Wanaopaswa kufuatilia hela za usajili nchini ni Yanga, maana wao wanakamuliwa kweli kweli kwenye kadi. Hao ndio wanaweza kuumia wakipigwaLupweko we jitetee uwezavyo, in short mmepigwa. Sioni noma kuwa mchawi maana hata kimbunga ni mchawi na bado anaimba Hip Hop.
ahahahhaahahaIlikuwa ni mbinu ya kuwafanya Makolo waendelee kuwa na wachezaji wa hovyo [emoji23]
,[emoji23][emoji23][emoji23]Hata yanga, umesahau mlivyoshangilia goli ,5 mnalamba hadi mikundu ya wadada wa kigodoro na ulimi huku mmevaa jezi zenu za njano na kijani za yanga huku ngoma za kigodoro zinapigwa au nikurushie hio clip..Mama Jay shabiki la yanga je umemsahau aliepigwa mbo na jamaa shabiki lenu , ilianzia akikata staili yakigodoro jukwaani
Wewe ruka ruka, lia andika magazeti mpaka ujaze server. The fact is mmepigwaYaani nitetee hela za tajiri mimi? Maana hakuna hela za wanachama wala Simba hawalazimishwi watu kulipia kadi, hawazunguki mikoani kukusanya tozo za kulipia kadi etc. Kwa ufupi wanachama hawachangii fedha. Sasa iweje atokee mtu awalipe vijana halafu nikomae eti tumepigwa? Wanaopaswa kufuatilia hela za usajili nchini ni Yanga, maana wao wanakamuliwa kweli kweli kwenye kadi. Hao ndio wanaweza kuumia wakipigwa
View attachment 2998085