Ali Kamwe: Simba tumewajaza Kwa kibu, wamejaa

hahahahhahahaah!na mm nilishangaaa YANGA wanamtakaje mtu na goli moja tu aiseee
Ilikuwa ni mbinu ya kuwafanya Makolo waendelee kuwa na wachezaji wa hovyo [emoji23]
 
Aziz ki hata akilipwa billion 1 Kwa mwezi sawa ila sio huyo mkongo hamna anachokifanya kiufupi wajinga ndio waliwao kibu mjanja sanaaa🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa umeumia nini kama wajinga ndio waliwao? 🤣 🤣 🤣
 
Lupweko we jitetee uwezavyo, in short mmepigwa. Sioni noma kuwa mchawi maana hata kimbunga ni mchawi na bado anaimba Hip Hop.
Yaani nitetee hela za tajiri mimi? Maana hakuna hela za wanachama wala Simba hawalazimishwi watu kulipia kadi, hawazunguki mikoani kukusanya tozo za kulipia kadi etc. Kwa ufupi wanachama hawachangii fedha. Sasa iweje atokee mtu awalipe vijana halafu nikomae eti tumepigwa? Wanaopaswa kufuatilia hela za usajili nchini ni Yanga, maana wao wanakamuliwa kweli kweli kwenye kadi. Hao ndio wanaweza kuumia wakipigwa


 
,[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe ruka ruka, lia andika magazeti mpaka ujaze server. The fact is mmepigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…