Kwa hiyo Mamelody uwanja haukajwa na kijani na njano,na ilikuwaje ilipofika saa12 jioni yakaanza kutoka matangazo kuwa watu wabakie nyumbani wasiende tena uwanjani sababu uwanja umejaa na muda huo huo mageti yakawa yanavunjwa?Mbona ya Mamelod hamkuigeuza na ilikuwa bure, hamuwezi kujaza msitafute huruma ya Simba
Sasa kelele za nini?Lazima ujae boss
Mnataka msilete timu uwanjani.Sasa kelele za nini?
Nina wasi wasi wataweka mpira kwapani half ya pili.Mnataka msilete timu uwanjani.
Yanga hana ubavu wa kujaza uwanjaAfisa Habari wa Yanga SC Ali Kamwe amesema mashabiki wa Simba SC wakijichanganya waisusie Kariakoo Derby Jumamosi hii na kuamua wasije uwanjani, basi wataigeuza siku hiyo kuwa kilele cha wiki ya Wananchi kwa kuujaza uwanja wote washabiki wa Yanga wakiwa na jezi za kijani na njano.View attachment 2965206
Labda waambiwe burePambaneni mjaze uwanja....
Mnapenda bure nyie, haya ushalipiwa weyeKwa hiyo Mamelody uwanja haukajwa na kijani na njano,na ilikuwaje ilipofika saa12 jioni yakaanza kutoka matangazo kuwa watu wabakie nyumbani wasiende tena uwanjani sababu uwanja umejaa na muda huo huo mageti yakawa yanavunjwa?
AaahaaaaAfisa Habari wa Yanga SC Ali Kamwe amesema mashabiki wa Simba SC wakijichanganya waisusie Kariakoo Derby Jumamosi hii na kuamua wasije uwanjani, basi wataigeuza siku hiyo kuwa kilele cha wiki ya Wananchi kwa kuujaza uwanja wote washabiki wa Yanga wakiwa na jezi za kijani na njano.View attachment 2965206
Hii mechi imekaa vibaya kwa Yanga nakwambiaKuna mpango wa Simba kukimbia derby