Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Afisa Habari wa Yanga SC Ali Kamwe amesema mashabiki wa Simba SC wakijichanganya waisusie Kariakoo Derby Jumamosi hii na kuamua wasije uwanjani, basi wataigeuza siku hiyo kuwa kilele cha wiki ya Wananchi kwa kuujaza uwanja wote washabiki wa Yanga wakiwa na jezi za kijani na njano.