Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
ndo tuseme mmezira..?😅Pambaneni mjaze uwanja....
Simba wana akili. Timu yao ikifanya vibaya wanalaumiana wenyewe, nyie timu yenu ikifanya vibaya lawama mnazipeleka TFF na CAF.
Kujipa moyo tu hamjambo!Simba wana akili. Timu yao ikifanya vibaya wanalaumiana wenyewe, nyie timu yenu ikifanya vibaya lawama mnazipeleka TFF na CAF.
Si ajabu hata kwenye maisha ya kawaida huwa mnawalaumu majirani pale mnapofeli mambo yenu.
Siyo kujipa moyo. Wewe ulitaka Simba wamlaumu nani kwa matatizo yao?
Hata mechi ya Mamelodi na Yanga watu walikuwa na mtazamo kama wakoLkn Simba lazima ale nyingi
Hii mechi simba wanaicheza nje ya uwanja nakwambia , Yanga tuendelee kufurahi tuna wachezaji wenye quality tutapigiwa mule muleHii mechi imekaa vibaya kwa Yanga nakwambia
Mnapenda bure nyie, haya ushalipiwa weye