Ali Kamwe: Simba wakisusia derby tutageuza Yanga day

Ali Kamwe: Simba wakisusia derby tutageuza Yanga day

5imba wanatafutana wenyewe kwa wenyewe sio kidogoooo. Wanalooo

Cc Smart911
Simba wana akili. Timu yao ikifanya vibaya wanalaumiana wenyewe, nyie timu yenu ikifanya vibaya lawama mnazipeleka TFF na CAF.

Si ajabu hata kwenye maisha ya kawaida huwa mnawalaumu majirani pale mnapofeli mambo yenu.
 
Hii mechi imekaa vibaya kwa Yanga nakwambia
Hii mechi simba wanaicheza nje ya uwanja nakwambia , Yanga tuendelee kufurahi tuna wachezaji wenye quality tutapigiwa mule mule
 
Back
Top Bottom