Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Ameandika @alikamwe
Tena Bila aibu .. Wameandika kwa Mbwembwe kabisa Eti Klabu ππ’π§ππ³π¨π°ππ§π’π kucheza Klabu Bingwa ya Dunia[emoji3] Wanawaniaje? Kimyaaaa ..
Naona Wachambuzi wanapata Kigugumizi Hapo kuelezea Ukweli Ulivyo [emoji23] Ndugu zangu Haya sio mashindano ya Ana Ana Doo kama ule mchongo wa Saudia ulivyokuwa β¦
Hii ni FIFA CLUB WORLD CUP .. Wachambuzi waambieni Watanzania Ukweli .. Msiishie Juu Juu tu kama Matandu ya Ubwabwa[emoji3]
Na nyie Makolo .. Hii nguvu mnayoitumia kuseti Watu mngeitumia kutafuta Kipa kwanza wa kubana miguu anapokutana na Waziri Jr ingewasaidia sana
Ayubu Nisameheeeeee[emoji23][emoji23][emoji23]