Ali Kamwe: Simba watafute kipa kuliko kujifariji kwenda FIFA world cup 2025

Ali Kamwe: Simba watafute kipa kuliko kujifariji kwenda FIFA world cup 2025

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Ameandika @alikamwe

Tena Bila aibu .. Wameandika kwa Mbwembwe kabisa Eti Klabu π™π’π§πšπ³π¨π°πšπ§π’πš kucheza Klabu Bingwa ya Dunia[emoji3] Wanawaniaje? Kimyaaaa ..

Naona Wachambuzi wanapata Kigugumizi Hapo kuelezea Ukweli Ulivyo [emoji23] Ndugu zangu Haya sio mashindano ya Ana Ana Doo kama ule mchongo wa Saudia ulivyokuwa …

Hii ni FIFA CLUB WORLD CUP .. Wachambuzi waambieni Watanzania Ukweli .. Msiishie Juu Juu tu kama Matandu ya Ubwabwa[emoji3]

Na nyie Makolo .. Hii nguvu mnayoitumia kuseti Watu mngeitumia kutafuta Kipa kwanza wa kubana miguu anapokutana na Waziri Jr ingewasaidia sana

Ayubu Nisameheeeeee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mambo ya Simba wanaongea viherehere wa njano, CAF wametuweka kwenye orodha ya contenders nyie ambao hata orodha hampo ndo mna midomo mingi
Ushauri tu mkuu[emoji23]
 
Back
Top Bottom